Mfumo huu unaratibu utoaji wa taarifa na ufuatiliaji wa madhara yanayohisiwa kusabababishwa na matumizi ya dawa

FOMU YA WAGONJWA YA KUTOA TAARIFA YA MADHARA YANAYOHISIWA KUSABABISHWA NA MATUMIZI YA DAWA AU CHANJO

Fomu hii ni kwa ajili ya kutolea taarifa za madhara ya dawa pindi mgonjwa anapopata madhara baada ya kutumia dawa au chanjo

FOMU YA WATAALAMU WA AFYA YA KUTOLEA TAARIFA ZA MADHARA YANAYOHISIWA KUSABABISHWA NA DAWA/CHANJO/VIFAA TIBA

Fomu hii ni kwa ajili ya kutolea taarifa za madhara yaliwapata wagonjwa yanayohisiwa kusababishwa na matumizi ya dawa au chanjo

FOMU YA KUTOLEA TAARIFA ZA DAWA NA VIFAA TIBA DUNI AU YASIYO NA UBORA

Fomu hii ni kwa ajili ya kutolea taarifa za dawa na vifaa tiba duni au yasiyo na ubora